NMB ni bank inayongozwa kuhujumiwa na wafanyakazi wake yenyewe na hata ukireport sijui kwa branch manager au kwa chief Internal Auditor hakuna litakalo fanyika zaidi ya bla blaa tupu for instance huku maeneo ya kanda ya ziwa kwa muda wa miezi miwili sasa wafanyakazi na hasa wa mashirika wanalalamikia sana ucheleweshaji maksudi wa mishara yao inayopitia NMB inachelewa adi wiki ya pili ya mwezi bila sababu za msingi, wateja wao wengi tuu wameisha hamia kwenye ma bank mengine wakati hao ma branch managers wame relax tuu, sijui hawajui kuwa dunia ya sasa biashara ni ushindani?