Elections 2010 Wizi wa shahada igunga

fat faza

Member
Joined
Feb 2, 2011
Posts
48
Reaction score
5
Habari za uhakika kutoka tbc1 live zinasema mama mmoja aliyejitambulisha kwa jina la mwajuma shaaban kiura mkazi wa igunga amekuta jina lake limeorodheshwa katika majina ya watu waliokufa na balozi wake wa chama cha magamba baada ya kukataa kumpa balozi huyo namba ya shahada yake ya kura ili aichakachue...je kuna uchaguzi huru hapo??
 

Kweli inatisha sana. Na huyo ni mmoja tu aliyekataa kuna wengi tu wamekubali. Baada ya kumtisha sana mama kakataa kutoa kadi iorotheshwe.
Kazi ipo
 
Inasemekana wale waliotoa namba za kadi zao kwa mabalozi wa magamba ndio ambao wakienda kwenye vituo vya kupigia kura wanakuta namba ya kitambulisho imebadilika na anakuwa hana sifa ya kupiga kura.
 
Mmeshaanza kulalamika...mbona kuna majimbo mlishinda...akishinda CCM kuna wizi wa kura....
 
Mmeshaanza kulalamika...mbona kuna majimbo mlishinda...akishinda CCM kuna wizi wa kura....


We inaonakana wazi ni magamba, lakn nauliza mtavua lini tena gamba maana hata nyoka huwa anavua gamba mara kwa mara?.
 
Hii ni hoja ya kujenga objection kwa kuplant watu kwamba wanalalama kuchukuliwa shahada acheni kura ziamue si maneno.
 
tume ya uchaguzi ilisema watakaokuta majina hayapo kwenye kitabu lakini wana shahada wataruhusiwa kupiga kura...sijui inakuwaje hapo.
 
Majinga hayo yaaache yaumie lakini CDM mbele daima nyuma mwiko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…