Wizi wa tiketi za viingilio;wizara ya michezo inashiriki...very sad!!!-cag

Wizi wa tiketi za viingilio;wizara ya michezo inashiriki...very sad!!!-cag

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Msiba usikie kwa mwenzio kwako usikufikie jamani watanzania sijui ndio chukua chako mapema ama lah!!!! Tatizo la pesa zinazotokana na mapato ya mechi mbali mbali hazilitafuni klabu na vayama vya micehzo tu bali hata wizara ya habari utamaduni na michezo ikiongozwa na mwanjeshi george mkuchika
 
Mwenzako akinyolewa we tia maji
jamani watanzania sijui ndio chukua chako mapema ama lah!!!! Tatizo la pesa zinazotokana na mapato ya mechi mbali mbali hazilitafuni klabu na vayama vya micehzo tu bali hata wizara ya habari utamaduni na michezo ikiongozwa na mwanjeshi george mkuchika -cag

viongozi wa wizara hii ya mkuchika wametengeneza mianya ya kuchota pesa za viingilio na kuzitumia na ukaguzi ukifanyika husingizia velelezo vimepotea au havijawasilishwa na wahusika udhaifu huu uko idara zote hadi za serikali kuu

taarifa iliotolewa na mkaguzi mkuu wa serikali cag bungen mwisho wa wiki imeonyesha udhaifu wa matumizi ya viingilio vinavyotokona na uwanja wa taifa n uhuru...

Kulikuwa na udhaifu wa sh 15,768,652 kutokana na viingilio na inaonyesha zilitumika bila idhini ya afisa msuuli inasema taarifa ya cag;baraza la micehzo hupewa mgao kwamaelezo zinatakiwa kwa ajili ya kuendeleza michezo mingine..tff mara nyingi imeshtumiwa kwa wizi na matumizi ya pesa udhamini na misaada;mikataba wanayoingia na afadhali...

Rais tenga aliwahi kukiri mianya iko mingi sana kutokana na viingilio na akaomba msaada namna ya uthibiti wizi huo....hivi karibuni iligundulika kukamatwa vitabu vya tkt vikiwa vimeshauzwa na kila kitabu si chini ya million 2 na vilikuwa 7...taarifa zaidi zinasema wizara ya habari na michezo kumeonekana na vilimbikizo ya sh 67,108,000 kutokuwa na viambatanisho kwa hali hiyo usahihi wa madeni akuweza kuthibitishwa hata mmoja ilesema taarifa ya cag

lakini taarifa ya cag aikuuishia hapo imesema kumekuwa na ubadhirifu wizaran hapo ..wizara imekuwa ikutumia pesa bila viambatanish sahihi hali inayoashiria shilingi kupotea...mathalani taarifa ya sh 92,585,879
zimetumika bila mchanganuo wala viambatanisho vyo vyote na hivyo uhalali wa deni hilo aukuweza halalishwa na cag

mishahara
kumekuwa na sh million 18,852,900 aamabazo azijakatwa kutoka kwenye akaunti za mishara ya watunishi waliaocha kazi kwa kipindi cha miezi saba bila uongozi kugundua ama kukaa kimya ;hali hii inaashiria udhaifu mzima mzima katika mfumo wa uthibiti wa fedha kwenye wizara hii...mfumo wa pale unaitaji kuimarishwa sana alisema cag;



utapeli wa kugaiana zabuni

mkaguzi alibaini tarifa za kila mwezi ya bodi ya zabuni hazikutayarishwa kama inavyosema kifungu cha 35(o) cha sehria ya manunuzi na 21 ya mwaka 2004
pia imebainika uongozi wa wizara ukiongoza na mjeshi george mkuchika aukutekeleza mpango wa mwaka wa manunuzi ulivyokusudiwa

wizi wa mafuta ya gari
utapeli mwingine umegundulika kwenye wizi wa mafuta ya gari tarifa ya cag inaonyesha mafuta ya gari ya sh 71,001,205 haya kuingizwa kwenye vitabu kinyume na taratibu na kanuni ya 220(i) ya kanuni za fedh za umma za mwaka 2001..mat,izi haya yanaijumuisha mafuta ya gari la waziri wa habari na makatibu wake pamoja na gari zingine za wizara hii

udhaifu huu unasababisha matumizi makubwa mabaya ya mafuta bila uongozi kujua anasisitiza cag....
Kwa kweli halii hii inasikitisha sana na kuhuzunisha kuona serikali inatumia pesa ovyo hivi na wizi mkubwa kiasi hiki huku mawazrir husika na wengineo wakiwa wanazidi kuiba na huku walimu na wengineo wakidai malimbikizo ya mishahara yao ...swala la ajabu sana
tunakushukuru sana mh cag tunatumaini wizi huu utawekwa wazi na wizara nyingine bila kuangalia ni waziri gani.....

Watanzania kazi kwenu
 
Back
Top Bottom