wezi na dhuluma ndio maana nenda rudi tanzania haiendelei sio mji pekee hata watu wake sababu ya kudhulumiana
Lakini kwa upande wa pili umejenga nyumba yako kwa 60 Million kwa miaka 10, sawa baadae unaamua kuipangisha kila mwezi laki 4 au 5 na kwa mwaka unapata milioni 4 mpaka 5 hii ina maana ndani ya miaka 10 milioni 60 yako imerudi sasa kwa nini usilipe kodi kwenye hiyo milioni 5 unayolipwa?
brazaj. Shida siyo kwamba umejenga kwa ajili ya kukaa ni biashara tayari umefanya unataka kodi anai alipe?hapo hapo unategemea serikali ikuwekee ulinzi, unataka barabara nzuri,unataka uememe unadhani vyote vinakuja bure? unadhani sisi wa madukani ndiyo peke yetu tulipe kodi?kodi ushaambiwa ukifanya biashara,ukiajiriwa au ukiwekeza unalipa tu kodi.ushasema nyumba unapangisha huoni hiyo ni biashara? wewe lipa changia maendeleo ya nchi ndugu.Kodi ni matoleo ya watu kutokea katika mapato yao ambayo kimsingi hayapaswi kuwa mzigo.
Mnapowalazimisha watu hata kwenda kukopa ili wawaletee tu nyie pesa kwa hakika hiyo siyo kodi tena bali ni wizi.
"Mtu kajenga nyumba yake kwa kujikongoja labda kwa miaka kadhaa ikimgharimu labda 60m/- + labda hata ni kupitia mkopo. Ile anapangisha tu, TRA hao mnadai 10% ya Kodi ya pango."
Hivi ni kwa mapato yapi hapo?
Huu siyo wizi? Halafu mnatokea hadharani bila aibu kudai mmevuka malengo?
Kwanini msiwe katika taasisi tarajiwa zitakazofumuliwa na kuwajibishwa panapo majaliwa, serikali ya watu yenye kuheshimu haki na usawa itakapopatikana?
brazaj. Shida siyo kwamba umejenga kwa ajili ya kukaa ni biashara tayari umefanya unataka kodi anai alipe?hapo hapo unategemea serikali ikuwekee ulinzi, unataka barabara nzuri,unataka uememe unadhani vyote vinakuja bure? unadhani sisi wa madukani ndiyo peke yetu tulipe kodi?kodi ushaambiwa ukifanya biashara,ukiajiriwa au ukiwekeza unalipa tu kodi.ushasema nyumba unapangisha huoni hiyo ni biashara? wewe lipa changia maendeleo ya nchi ndugu.
je ile wanayokata kila mwezi unaponunua umeme sio ya jengo?Lakini kwa upande wa pili umejenga nyumba yako kwa 60 Million kwa miaka 10, sawa baadae unaamua kuipangisha kila mwezi laki 4 au 5 na kwa mwaka unapata milioni 4 mpaka 5 hii ina maana ndani ya miaka 10 milioni 60 yako imerudi sasa kwa nini usilipe kodi kwenye hiyo milioni 5 unayolipwa?
Kwani wezi huishiwa misamiati? Kuna jengo na pango mbili hizo no tofauti na zawezahusu jengo hilo hilo.je ile wanayokata kila mwezi unaponunua umeme sio ya jengo?
Ni sawa na mimi napokea mshahara wangu kila mwezi lakini nakatwa PAYE.. Wewe ungesema si malipo ya kazi yangu niliyofanywa mwenyewe? Kwani TRA ilinisaidia kazini?brazaj. Shida siyo kwamba umejenga kwa ajili ya kukaa ni biashara tayari umefanya unataka kodi anai alipe?hapo hapo unategemea serikali ikuwekee ulinzi, unataka barabara nzuri,unataka uememe unadhani vyote vinakuja bure? unadhani sisi wa madukani ndiyo peke yetu tulipe kodi?kodi ushaambiwa ukifanya biashara,ukiajiriwa au ukiwekeza unalipa tu kodi.ushasema nyumba unapangisha huoni hiyo ni biashara? wewe lipa changia maendeleo ya nchi ndugu.