Si wengine bali ni vijana wawili Wizkid (Nigeria) na Alikiba (Tanzania). Kwanini nawaita ni watu wabaya au the most wanted in Africa?
1.Both Wizkid na Alikiba are most talented Artist, Yani vipawa na uwezo wao unaweza kuupima kwa kutumia nyimbo zao, uandishi wao wa kitofauti, yani kila nyimbo ambayo hutoa huwa lazima iwe hit song.
2. Both, huwezi kuwasikia eti wameshinda sijui tuzo 10 au ngapi japokuwa uwezo wao ulivyo bila fitina au kitu gani basi kusingekuwa na kenge yeyote mwenye kunusa tuzo hata moja katika category hawa wanyama waliopo.
3. Both are very arrogant person, Yani kama ni dharau au kiburi hawa jamaa wamejaaliwa, Huwezi kukuta wakilamba kiatu cha kima yeyote ili wapate kitu fulani, Wanajiamini sana na zaidi is untouchable, ni masikini jeuri wapo radhi walale njaa lakini si kulamba kiatu cha mtu.
4.Both wana charsma ya kupendwa sana na watu, Strong fans base ( die hard fans) ndiyo mhimili wao,
5.Both wana maadui wengi, hii ni kutokana na kuwa na kipaji kikubwa pamoja na tabia yao ya kutopenda kulamba miguu ya watu.
6. Both hawapendi show off, japokuwa wote wanamiliki fedha na mali nyingi kwa kila mmoja kutokana utajiri mwingi waliouchuma kutoka katika kazi zao.
My take: Siku ikitokea hawa miamba wafanye collabo Africa itasimama.
Mungu bariki Tanzania.
Mungu bariki Africa.