Charles Gerald
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 1,403
- 1,837
Mbona unawashwa hivo, sijaona mahali anazungumziwa Diamond kwenye hiyo postEeeh bwana eeh angekuwa Diamond tungehama nchi!
Wiz yuko vizuri...hana mbwembwe wala nini.
Acha majungu ndomana wabongo amuendelei kama diamond anauwezo wa kufanya collabo na Jay z itakuwa showEeeh bwana eeh angekuwa Diamond tungehama nchi!
Wiz yuko vizuri...hana mbwembwe wala nini.
hv alikukoseaga nini mume wa mtu hyo jaman, yn wew usipomdiss sijui unapungukia nin khaa, unamtaka?Eeeh bwana eeh angekuwa Diamond tungehama nchi!
Wiz yuko vizuri...hana mbwembwe wala nini.
mh nawew upunguze chumvi mkuuAcha majungu ndomana wabongo amuendelei kama diamond anauwezo wa kufanya collabo na Jay z itakuwa show
Unataka kusema wewe ni Le Akili Kubwa?Mm ndiyo niliemuunganishia hilo dili
hv alikukoseaga nini mume wa mtu hyo jaman, yn wew usipomdiss sijui unapungukia nin khaa, unamtaka?
Place davido into that situation.Hahahahaha napata picha.StarBoy anafanya kimya kimya anaacha mafanikio yapige kelele,anawakalisha kweli wenzie uyu NUNDA na mjeuri wa kuzaliwa.