vipi na huyu nyumba ya jirani atakuwepo?
Hii show ni ya mastar wa africa walio hot kwa sasa , sasa uyo unaemzungumzia show zake mwisho kenya , aanze kwanza kujitanua ajulikane uganda na east africa yote then ndo aanze safari ya kutambulika africa kwa ujumlavipi na huyu nyumba ya jirani atakuwepo?
Tembo atamwachia nani.?
[emoji15] naona umeamka na hangover kali..!!Davdo vipi,naona alimtoa diamond ,naona diamond yupo juu zaidi ya aliyemtoa ,haya ndo maisha
Muziki kuna ups and down, huwezi kuwa bora wakati wote. Ndiyo maana wenye akili huweka tuzo za kila mwaka.[emoji15] naona umeamka na hangover kali..!!
hivi diamond yuko juu ya davido..???
au ndo mahaba yamekujaa mpaka mbele huoni[emoji780]
Naomba umuombe lara 1 asimharibie na huko kama:::: Vodacom wabandua mabango yenye picha za DiamondDavdo vipi,naona alimtoa diamond ,naona diamond yupo juu zaidi ya aliyemtoa ,haya ndo maisha
ni kweli kuna up and down..Muziki kuna ups and down, huwezi kuwa bora wakati wote. Ndiyo maana wenye akili huweka tuzo za kila mwaka.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Tembo atamwachia nani.?
We jamaa bhana, unajitahidi kuwaondoa watu kwenye mada kisa katajwa DIAMOND,mbona haujiulizi kuwa Mr. Flavor au WizKid kama ni zaidi ya Davido ......au ni vile tulishazoea kuwa nyuma basi kila kitu unajiona haustahili ......SASA WEWE ENDELEA KUUGULIA KAMA DAVIDO YUPO JUU YA DIAMOND AU LAA,ILA TUNACHOKIJUA DIAMOND NI MMOJA KATI YA WASANII WATATU WAKUBWA AFRICA WALIOCHAGULIWA KUTUMBUIZA KTK SHOW HIYO.NDIO IMESHAKUWA HIVYO UNAMPENDA AU UMPENDI KESHAMPITA NA WALA HATOMFIKIA KAMWE HUYO UNAYETAKA WEWE AWE.ni kweli kuna up and down..
lakini kwa sasa bado Davido yuko on the top kumshinda Diamond.