Wizkid, Diamond na Mr. Flavour waula, kuandika historia Africa

sasa sisi mabaloz wa tembo itakuaje jaman? hamtuoni au
 



Sasa sisi inatuhusu nini???
 
Vipi kuhusu viingilio!!!! Nimepata update kua Mond atacndikizwa na msanii bora wa Tz King Kibba
 
Hii show ni ya mastar wa africa walio hot kwa sasa , sasa uyo unaemzungumzia show zake mwisho kenya , aanze kwanza kujitanua ajulikane uganda na east africa yote then ndo aanze safari ya kutambulika africa kwa ujumla
Wamatopeni huyo hawezi fika level za chibu dangote kwa kipindi hiki.
 
I bet mpangilio wa perfomance utakua hivi....Flavour.....Diamond and then Wizkid.
 
hizi ni habar mbaya sna kwa juma nature mana aliomba mpambano uwanja wa taifa.
 
[emoji208] [emoji208] [emoji208] [emoji208] [emoji208] [emoji208] [emoji208] [emoji208] [emoji208] [emoji208] [emoji208] [emoji208] [emoji208] [emoji208] [emoji208] [emoji208] [emoji208] [emoji208] [emoji208] [emoji208] [emoji208] [emoji208] [emoji208] [emoji208] [emoji208] [emoji208] [emoji208] [emoji208] [emoji208] [emoji208] [emoji208] [emoji208] [emoji208] [emoji208] [emoji208] [emoji208] [emoji208] [emoji208] [emoji208] [emoji208] [emoji208] [emoji208] [emoji208] [emoji200][emoji208] [emoji208] [emoji208] [emoji208] [emoji208] [emoji208] [emoji208] [emoji208] [emoji208] [emoji208] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Kama namuona Diamond alivyo pania hiyo show kama watapewa mda wa kutosha Nahisi watasimlia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…