WizKid signs with Sony Music

WizKid signs with Sony Music

kedrick

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2015
Posts
5,080
Reaction score
4,914
After a bidding war between Universal Music and
Sony Music , the only Two Major Distribution companies in the world, Wizkid has decided to go with the latter and just inked a global record deal with Sony Music in New York.

According to sources, Wizkid will receive a 7 figure advance (in US Dollars) and sign to RCA Records who will handle his distribution deal in the United States
 

Attachments

  • 1474358660028.jpg
    1474358660028.jpg
    27.4 KB · Views: 51
$ 1m, si mbaya iwapo mkataba ni wa muda mfupi, Lakini kama ni wa muda mrefu na yeye atalia tu.
 
Ukimsikiliza kwa makini Michael Jackson hutatamani hata kusikia hayo makitu ya ajabu ajabu
 
apotee wapi wakati kuna ngoma kashirikishwa na DRAKE
Hiyo ngoma kabla hata hajasign na sonny,hata huyo Drake alishirikishwa kabla kwny ngoma ya wizkid,ila alichosema jamaa nahisi alimaanisha wasanii wengi hupotea wakiamua kutoka kua independent nakua signed under major labels,mfano mzuri ni davido alilalamika tangia awe signed na sonny hana uhuru na maamuzi kamili kuhusiana na nyimbo zake ka zamani,navilevile kuhit kwa davido kumedrop kulinganisha kipind kile kabla hajawa signed na sonny
 
Back
Top Bottom