Mmmmh!Ukimsikiliza kwa makini Michael Jackson hutatamani hata kusikia hayo makitu ya ajabu ajabu
apotee wapi wakati kuna ngoma kashirikishwa na DRAKEasije akapotea kama davido
Davido kapotea eeehasije akapotea kama davido
Sony Africa ndiyo soo,asije akapotea kama davido
Hiyo ngoma kabla hata hajasign na sonny,hata huyo Drake alishirikishwa kabla kwny ngoma ya wizkid,ila alichosema jamaa nahisi alimaanisha wasanii wengi hupotea wakiamua kutoka kua independent nakua signed under major labels,mfano mzuri ni davido alilalamika tangia awe signed na sonny hana uhuru na maamuzi kamili kuhusiana na nyimbo zake ka zamani,navilevile kuhit kwa davido kumedrop kulinganisha kipind kile kabla hajawa signed na sonnyapotee wapi wakati kuna ngoma kashirikishwa na DRAKE
Mkuu Davido kasainiwa na hao hao wa FrontSony Africa ndiyo soo,
Hawa wa front baba
hiyo si kabla ajasignapotee wapi wakati kuna ngoma kashirikishwa na DRAKE
kwam Davido alisign sony AfricaSony Africa ndiyo soo,
Hawa wa front baba
Kwn we unaona hajapotea.???Davido kapotea eeeh