Wizkidayo ametangaza ujio wa Album yake mpya

Wizkidayo ametangaza ujio wa Album yake mpya

barcelonista

Senior Member
Joined
Apr 26, 2021
Posts
158
Reaction score
149
#ETrending Achana na kuvunja rekodi zake mwenyewe kufuatia kuujaza Ukumbi wa 02 Arena kwa siku tatu mfululizo, staa wa muziki nchini Nigeria ambaye kwa sasa amekuwa midomoni mwa mastaa wakubwa ulimwenguni Wizkidayo ametangaza ujio wa Album yake mpya
------------------------------------------------------------------------------
Wizkid ameweka wazi kupitia instastory yake kuwa Album yake mpya imekamilika kwa asilimia 50%. Wizkdi ameandika "Album yangu mpya imekamilika kwa asilimia 50, niombeeni kheri"
------------------------------------------------------------------------
Kwa sasa Wizkid anafanya vizuri na Album yake Made In Lagos ambayo ilitoka October 2020 ikiwa imebeba nyimbo kubwa kama Essence Ginger ambazo mpaka sasa zinamfanya Wizkid atembee kifua mbele. Na Ikiwa imefikisha streaming zaidi ya Million 800 kwenye Platform zote.

Bongo tunakwama wapi???

post_241126493_194069532790503_32101883076759878_n.jpg
 
Ila O2 wanaujaza sana, sijui kwa nini venue nyingine wana chemka.
 
Back
Top Bottom