sirside123
Member
- Feb 26, 2013
- 20
- 6
Karibu kijana.
Karibu sana JF mkuu.
Karibu sana. Rekebisha mwandiko, humu tupo bibi zako na hatuelewi na2maini ndo nini.
ebwana vp? Nimevutiwa sn na topics za JF, kwaiyo namm nimejiunga, na2mai 2takuwa pa1
huu mwandiko wako wa facebook umenistua. hata hivyo karibu. mia
Pita ndani...
achana na huu mwandiko mkuu. miaHahah, uckus2e sn mkuu. Thnx
welcome to forum sirside123.
Karibu sana JF...