100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 4,766
- 16,191
inawezekana kabisa mkuu, ila hakikisha pawe na clear line of site kati ya izo antenna mbili, obstacles kama miti na majengo kati izo two antennas yaweza athiri ubora wa signal au hata ku block kabisa!
kama umbali (range) wa mahitaji yako ni exactly 1km bas tafuta kifaa chenye uwezo zaidi ya iyo 1km (atleast 1.5km au 2km) kwasababu mara nyingi kama kifaa kipo advertised kuwa na range ya 1km ukija kwenye uhalisia ni less than a km!
kumbuka pia kufanya proper alignment kati ya hizi antenna mbili during installation. ni unidirectional antenna)
lastly, zingatia pia bandwidth ( uwezo wa ku transmit data) ya ivo vifaa kama zina meet mahitaji yako mkuu.
chek specifications sheet hizo details zote utapata!
Ahsante mkuu.Sure inawezekena.
Hii naona umbali ni 35km nahisi itafaa zaidi.inawezekana kabisa mkuu, ila hakikisha pawe na clear line of site kati ya izo antenna mbili, obstacles kama miti na majengo kati izo two antennas yaweza athiri ubora wa signal au hata ku block kabisa!
kama umbali (range) wa mahitaji yako ni exactly 1km bas tafuta kifaa chenye uwezo zaidi ya iyo 1km (atleast 1.5km au 2km) kwasababu mara nyingi kama kifaa kipo advertised kuwa na range ya 1km ukija kwenye uhalisia ni less than a km!
kumbuka pia kufanya proper alignment kati ya hizi antenna mbili during installation. ni unidirectional antenna)
lastly, zingatia pia bandwidth ( uwezo wa ku transmit data) ya ivo vifaa kama zina meet mahitaji yako mkuu.
chek specifications sheet hizo details zote utapata!
100%Hii naona umbali ni 35km nahisi itafaa zaidi.