DOKEZO Wodi za wazazi katika Hospitali Ya Wazazi Meta Mbeya kuna baridi kali

DOKEZO Wodi za wazazi katika Hospitali Ya Wazazi Meta Mbeya kuna baridi kali

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

Tony Yeyo

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2014
Posts
729
Reaction score
555
Kama ukipata nafasi kutembelea wodi za wazazi pale Meta Mbeya utakuta kuna baridi kali katika wodi za wazazi.

Lakin jambo la kushangaza ukienda kwenye vyumba vya manesi unakuta kuna heater za joto ambazo zinafanya mtu ujiskie vizuri

Swali langu. Kwanini Uongozi wa Meta hospital wasiweke heater za joto kwenye Vyumba vya kina mama ?
 
Kama ukipata nafasi kutembelea wodi za wazazi pale Meta Mbeya utakuta kuna baridi kali katika wodi za wazazi

Lakin jambo la kushangaza ukienda kweny vyumba vya ma nesi unakuta kuna heater za joto ambazo zinafanya mtu ujiskie vizur

Swali langu

Kwann uongozi wa meta hospital wasiweke heater za joto kwenye Vyumba vya kina mama ?
Na hili wakaliangalie🙏
 
Walifanyieeeeee kazi na hiliii...
 
Back
Top Bottom