Kama ukipata nafasi kutembelea wodi za wazazi pale Meta Mbeya utakuta kuna baridi kali katika wodi za wazazi
Lakin jambo la kushangaza ukienda kweny vyumba vya ma nesi unakuta kuna heater za joto ambazo zinafanya mtu ujiskie vizur
Swali langu
Kwann uongozi wa meta hospital wasiweke heater za joto kwenye Vyumba vya kina mama ?