Wojtek ni mnyama dubu ambaye alinunuliwa na wanajeshi wa poland mwaka 1942 nchini IRAN akiwa bado mdogo sana.
Alilelewa na jeshi kisha kusajiliwa kama mwanajeshi.
Aliwasaidia wanajeshi wenzake kwenye baadhi ya majukumu wakati wa vita ya pili ya dunia kama kubeba masanduku ya silaha na shughuli nyingine zilizohitaji nguvu kidogo ya ziada
Baada ya vita kuisha alimalizia maisha yake kwenye EDINBURGH ZOO nchini SCOTLAND mpaka mwaka 1963.