Mwl Mwakujonga
JF-Expert Member
- Jun 29, 2023
- 384
- 758
Mungu atusaudie kwa kweliMambo mengi yameparanganyika, watu wa zamani ambao sasa ni watu wazima wanaonekana ni washamba wanapoendelea kushikilia misimamo motomoto ya zamani. Siku hizi ukihubiri injili kali mchungaji anaweza kukuambia usihubiri hivyo watu watahama kanisa, hubiri injili lainilaini
Very sad, nimeona kwa macho hayo yakitukia sio kuambiwaMambo ya uzinzi siku hizi hayakemewi, mabinti wanapata mimba huku wanaimba kwaya, poa tu hawatengwi. Wengine wanafunga ndoa huku tayari ni wajawazito hawaulizwi kwa nini mmeanza kufanya tendo la ndoa kabla ya kufunga ndoa. Maagano ya ndoa hayafuatwi, wanandoa wanaachana haraka bila hofu ya Mungu