Wolper afungukia skendo ya ushoga ya bwana'ke

Akomae naye tu,maana hakuna namna, ukipenda kula ya Nyama ya Bata usifikirie mazingira ajitafutiyo chakula

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Hawa hapa kina Caitlyn Jenner wa Dar, eti hapa wako wanalihamsha dude Leaders Club, usiku wanashikishwa ukuta na kina Wolper. Wanaume wa Dar uhamsho unawasumbua sana.
View attachment 544631
Humo vifuwani wanawekaga nini hawa watu hadi panatuna kiasi hiko?hilo moja hapo kono msuli huo ila chapati ya maji kuikata haliwezi na mende linaogopa kama toto la kike.ndio maana hata maisha yanazidi kuwa magumu,Mungu hawezi kutupa mema hali tukimrudishia mabaya kama haya.

Sent from my HUAWEI Y625-U32 using JamiiForums mobile app
 
Wanaume wa dar kazi mnayo, Mimi vigumu sana kutofautisha mwanaume wa dar na mwanamke wa Dar.
Wote wanajiremba as if wote ni wanawake, wote wanapenda chips mayai, wote wanapenda kuvaa nguo za kubana.
Wanaume wa dar badilikeni jamani
Dah we jamaa nimekuvutia pumzi Sana. Huwaga sipendi watu wanaowahusisha wanaume wa dar na vitu vya kijinga nimekasirika Sana aisee
 
Hawa hapa kina Caitlyn Jenner wa Dar, eti hapa wako wanalihamsha dude Leaders Club, usiku wanashikishwa ukuta na kina Wolper. Wanaume wa Dar uhamsho unawasumbua sana.
View attachment 544631
Watu mnatoka mikoani mnakuja dar hamna kazi mnafikiri pesa zinaokotwa tu, halafu mnafanya ujinga then mnasingizia wanaume wa dar acheni ushenzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…