Anisamehe kwa kashfa hiyo. Ila na nyie mjiongezepo kidogo atii.
Nahisi itakua tritelNina mashaka na wolper, anajihusisha na kampuni ya mawasiliano
Eeh, nao si mtandao wa simuNahisi itakua tritel
Sent from my Siemens A-35 using JamiiForums mobile app
Alaah! kumbe wapo location!Kumbe kupiga picha na mwanaume mwenzio gesti nayo ni kaz (in ney wa mitego voice)
Hao ni wanaume wapo wapi,mana lazma ni wale wa jiji la chips kiepe?Anisamehe kwa kashfa hiyo. Ila na nyie mjiongezepo kidogo atii.
Gym mnakimbilia aerobics hamtaki kueka weight japo Ku build muscles, cream mnapaka, nyusi mnanyoa, lip glossy mnayo duh!
Wanaume sura lainii, ngozi lainii Haina hata kovu la baiskeli kweli?
Sent from my Royale A1 using JamiiForums mobile app
Umesikika kidume cha ngerengere.Wanaume wa dar kazi mnayo, Mimi vigumu sana kutofautisha mwanaume wa dar na mwanamke wa Dar.
Wote wanajiremba as if wote ni wanawake, wote wanapenda chips mayai, wote wanapenda kuvaa nguo za kubana.
Wanaume wa dar badilikeni jamani
Ali RemtullahKwanza mwanaume kujihusisha na uanamitindo ni dalili mbaya!!! Kwann upende kazi za kujikwatua kwatua jukwaani? Kuringia uzuri?...khaaaaaa!!!
Post sent using JamiiForums mobile app