Wolper afungukia skendo ya ushoga ya bwana'ke

Mhenga aliye sema kula na kuliwa nisawa tu , mhenga uyo ni mzaliwa wa dar .

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Ndio dalili zenyewe za ushoga

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Tunajua wolper hawezi kumuacha huyo bwana ake, ila tunajua huyo bwana atamuacha wolper, maana wolper amekuwa kama mfereji wa kupitisha maji kwenda baharini, wanaume wanapita tu wanaenda ktulia pengine...ajitafakari umri alionao sio wa kufanya ujinga huu.
 
Watu mnatoka mikoani mnakuja dar hamna kazi mnafikiri pesa zinaokotwa tu, halafu mnafanya ujinga then mnasingizia wanaume wa dar acheni ushenzi.


Tunakuja Dar kufunga mali za mamilioni/bilioni.....hatutaki ujinga sie, hapa kazi tu upashukuna ni Dar peke yake. Tunawashangaa vijana tata wa Dar kila tukijaga huko. Utashangaa mtu unakwenda kufunga mali Dar unakutana na vijana tata waliovaa heleni, kutoboa pua, na kupaka lipstick huku wakiimba bongo fleva.
 


wakitoka hapo ni bongo fleva mtindo mmoja huku wakibana pua.
 
Wanaume wa dar kazi mnayo, Mimi vigumu sana kutofautisha mwanaume wa dar na mwanamke wa Dar.
Wote wanajiremba as if wote ni wanawake, wote wanapenda chips mayai, wote wanapenda kuvaa nguo za kubana.
Wanaume wa dar badilikeni jamani
Weeeeeee uwe na adabu wengene wanaume hao hao wa dar ndo wanawalisha wa mikoan na kuwaolea dada zenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…