Wolper ajibu shutuma za kuiba mchumba wa mwanadada muigizaji Mulky wa juakali

Jannatul Firdaus

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2026
Posts
446
Reaction score
1,113
Juma lokole amedai kuwa Mulky wa Juakali na Wolper wameshushiana maneno mazito wakiwa wanamgombania Isarito.

Juma Lokole ana voice za Wolper anazojisifu kuwa ingawa umri umeenda ila ameweza kumchukua Isarito mikononi mwa Mulky.

''Wolper na mulky wa juakali wameshushia maneno mazito wolper anajisifu yeye ndiyo bibi lakini bibi yeye ameweza kumchukua isarito mikononi mwa mulky''Amesema -Juma Lokole

Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…