1.Sanaa na Wasanii.Ndo faida ya kuwa mwigizaji hiyo!
Kwani wolper ana umri gani na harmonize ana umri gani naye?Mama mzima kama Wolper anapandwa na katoto kama Harmonizer!....ni aibu!......Ewe Muumba niepushe kufungwa nira za mapenzi kama hizi katika maisha yangu!
24yrsKwani Wolper ana miaka mingapi?
Naomba kujua umri wa Wolper
Wasanii tunashangaa.1.Sanaa na Wasanii.
2.Analeta usanii ndani ya nyumba ya sanaa.
Hapo ndo alikuwa na miaka mingapi, ishirini?
Inamaana 2012 alikuwa na miaka 20?
Kwahiyo mwaka 2012 alikuwa na miaka mingapi?Wewe umesema sasa hivi anamiaka 24, picha ni ya 2012 inamaana then alikuwa 20yrs old?
Hili hajalifanya siri, alisema anamshukuru Mungu kuweza kujiunga na WCB. Anatamani kuboresha maisha yake DSM ili ikiwezekana amhamishe mama yake kwani kwao hali sio nzuri. Katika penzi hili ndoto zake kuzitimiza itakuwa ngumu kidogo.huyo jamaa nae kwao wamechoka hatari.
Hahaaaaaa, si ndio vizuri story zinakuwa zinapandaInavyoelekea Wolper and the so called mama mkwe wamepishana kidogo tu kama 5yrs hivi.
ila dogo atakuwa anafaidi saanaHili hajalifanya siri, alisema anamshukuru Mungu kuweza kujiunga na WCB. Anatamani kuboresha maisha yake DSM ili ikiwezekana amhamishe mama yake kwani kwao hali sio nzuri. Katika penzi hili ndoto zake kuzitimiza itakuwa ngumu kidogo.