Haa haa haa pesa tu mkuuu hawa dada zetu walilaaniwa na pesaMama mzima kama Wolper anapandwa na katoto kama Harmonizer!....ni aibu!......Ewe Muumba niepushe kufungwa nira za mapenzi kama hizi katika maisha yangu!
Tumsifuni. . . . . .
Naye Wolper alipost picha akiwa na mama mkwe na kuandika: I am having the best time of my life.. Nikiwa na Mama angu… Kabla hamjatoka lazima mpige story, akuchekeshe… Mjipikilishe.. Akushauri
Hapa nimepata rafiki kwa kweli…I love my mama Mkwe.. Mama Raj wangu.”
[emoji28] [emoji28] [emoji28] watu wafupi mnakuaga wakaliiiJiheshimu uheshimiwe, kama wamachinga ni wafupi wapare nao watakuwa nani?
Hivi ushawahi kuwaza kwanini demu anajiridhisha kwa kidole chake mwenywe tu,na icho kidole wala huwa hakiingizi ndani chooote?!ukipata jibu wala hutojisumbua kujua km huyo dogo anasugua papuchi vizur au lah!sijui ata kama dogo anamkuna vizuri huyo mwanamke duuu labda kama ana tango
Kwani huyo kijana ana miaka mingapi?Mama mzima kama Wolper anapandwa na katoto kama Harmonizer!....ni aibu!......Ewe Muumba niepushe kufungwa nira za mapenzi kama hizi katika maisha yangu!
Sijafika Mtwara ila hiyo kitu Poku yaliwa yakhe.... Panya hiyo kitu haiwezi achwa ni misosi ya Asili kama Pombe ya Mnazi uwe Muislam asiwe Muislam... ni Sawa na Matambiko au kwenda kwa Waganga havikwepeki Mungu wa Wazungu na Waarabu hawafui Dafu kwa Mambo ya Asili... Jua hilo na halina ubishi... STUKAUnajua watu wanachanganya sana. Na wengi labda hawajafika Mtwara au wanasikia tu stori. Ukweli ufuatao unafafanua kiufupi tu kuhusu Mtwara.
Kwanza ni kweli Panya huliwa na BAADHI ya Wananchi wa Mkoa Wa Mtwara. Ni baadhi kwa sababu ni watu wachache sana. Kwa upande wa Wamakonde, hawa wako katika Makundi matatu hivi. Kundi la kwanza ni Wamakonde wa Bara. Hawa hupatikana Newala na Tandahimba. Asilimia 99.99 ni Waislam na KATU hawali siyo hao Panya tu bali hata Nguruwe haiguswi.
Aina ya pili ya Wamakonde ni wale wa Pwani wakiitwa ni WAMALABA. Hawa hupatikana Maeneo ya Pwani ambayo ni Mtwara Mjini na Mtwara Vijijini. Hawa kimakonde chao huvuta na maneno yake ya Kimakonde yanatumia Kiswahili Broken, na utakitofautisha na kiswahili kwa sababu ya lafudhi tu. Hawa nao 99.99% ni Waislam na ni kwa ukweli huu ambapo miaka ambayo mimi nimeishi Mtwara mjini hakukuwahi kuwepo hata BUCHA LA NGURUWE, kama zipo ni miaka hii. Hawa ni Waislam na kamwe hawawezi kula uchafu kama Panya na NGURUWE-NEVER.
Kundi la tatu ni Wamakonde kutoka Msumbiji(Wana Mtwara wanawaita ni wamawia-jina hilo linawakera) . Wengi wa hawa wapo Mtwara zote na ni Wakristo. Kiukweli hawa huwa wanakula nyama nyingi kwa kweli. Fungo, Nguruwe, Kima, Kenge nk. Lakini wengine baada ya kulowea Tanzania wamebadili dini na kuwa Waislam na wengine bado ni Wakristo lakini hawali wadudu labda nguruwe tu.
Kuna kabila la Wamakua webgi ni Wakristo na Waislam pia lakini baadhi. Hawa ukienda pale Ndanda Mkorosho Haramu kuna Jiko kabisa la Panya. Lakini Panya hao hawaliwi na Waislam Wamakua Aslan
Sasa nikija kwa Harmonize ni Muislam, na HAKUNA MUISLAM yeyote Mkoa wa Mtwara anaekula Panya wala Nguruwe.
Mmmh Kuuliza ni kutokujiheshimu? Hizi Dini zimeharibu sana Watu... Zifutwe ni majipu... Watu wanaishi kiovyo ovyo...Jiheshimu uheshimiwe, kama wamachinga ni wafupi wapare nao watakuwa nani?
Nimecheka hadi usingizi umeishaNdo faida ya kuwa mwigizaji hiyo!
Ndugu yangu, Waislam hawtumii kabisa. I Can Affirm(as Opposed to Taking Oath-For Others) Myself.Sijafika Mtwara ila hiyo kitu Poku yaliwa yakhe.... Panya hiyo kitu haiwezi achwa ni misosi ya Asili kama Pombe ya Mnazi uwe Muislam asiwe Muislam... ni Sawa na Matambiko au kwenda kwa Waganga havikwepeki Mungu wa Wazungu na Waarabu hawafui Dafu kwa Mambo ya Asili... Jua hilo na halina ubishi... STUKA
''Baba kaleta nguluwe baba kaleta nguruwe... weee... uchicheme hivyo Mwenye Nyumba hii ni mwichilamu akitusikia atatufukuza''
Sio kweli... mwaka jana tu huko Syria Shekhe aliruhusu kuliwa Mijusi Nguruwe,Panya na pakaNdugu yangu, Waislam hawtumii kabisa. I Can Affirm(as Opposed to Taking Oath-For Others) Myself.
Hata Mungu anakataaWasanii tunashangaa.
Kwani wolper ana dera hili hili moja tu? au mi ndo sielewi?