Wolper alia kutengwa na mastaa

Midekoo

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2015
Posts
45,757
Reaction score
246,786
Jacquline Wolper amesema kuwa mastaa wengi hawapendi kupeana ‘sapoti’, kiasi kwamba hata kama staa mwenzao akiwa na biashara yake wapo radhi kununua kwingine lakini si kwake, ili tu wamkomoe.

Wolper alijitolea mfano kwa kusema kuwa tangu amejiingiza kwenye biashara ya ushonaji, watu wengi ambao wamekuwa wateja wa biashara zake ni wa kawaida tu na wasanii wenzike hawazidi hata watatu. “Unapofanya maendeleo kwa sisi mastaa wenzako si kwamba wanapenda.
Wananuna ndiyo maana huwezi kuwaona wakikusapoti,” alisema Wolper.
 
Sasa alialia nini ashawahi ona hao mastaa wanavaa nguo za kushona? Zaidi ya viguo vya watoto wao,suruali ambazo kuvua mpaka upake mafuta ya arizeti ndio itoke asitake kuwapa ubaya wenzie.
 
Hata mimi ningekua msanii nisingevaa nguo zake. Mwisho wa siku kila mtu kuna kitu anapendelea, huwezi mlazimisha mtu kuvaa vitenge sababu wewe unashona wakati sina mazoea hayo.
Kwani wakati anafungua duka walimuahidi kununua on regular basis? Apambane na hali yake.
 
Sasa alialia nini ashawahi ona hao mastaa wanavaa nguo za kushona? Zaidi ya viguo vya watoto wao,suruali ambazo kuvua mpaka upake mafuta ya arizeti ndio itoke asitake kuwapa ubaya wenzie.
😀😀😀 Kha! Yan mkuu umeongea facts tupu... Big up sana.
 
Hao ndo wasanii wa kibongo wanaaafiki wanasapotiana kwenye mambo ya kishenzi tu!

Wanataka mudange wote mkifulia mchekwe
 
Sasa alialia nini ashawahi ona hao mastaa wanavaa nguo za kushona? Zaidi ya viguo vya watoto wao,suruali ambazo kuvua mpaka upake mafuta ya arizeti ndio itoke asitake kuwapa ubaya wenzie.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] aiseerh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…