Wolper ampiga kibuti Harmonize, Afuta picha zake zote na za WASAFI

Wolper ampiga kibuti Harmonize, Afuta picha zake zote na za WASAFI

Kavuta pesa kasepa, akichacha atasaka mwingine.

Kama pap yake nayo imeliwa basi hakuna la ajabu, au hana ushindi juu ya Harmonize.

Nahisi alianza kunyimwa na omba omba nyingi, kupenda vya mtelemko. Kaka wa watu kashtuka pesa isiishe.
 
Na Daima usithubutu kumwamini Mwanamuziki au Mwigizaji Tanzania hii.

Wapo walioharibikiwa ujauzito wa mapacha pia wapo walioigiza kubakwa na kuna 'walioshoot' China hadi leo inahaririwa....

Ni kama wanasiasa tuu wakiona twaenda watakako basi hujiona washindi na huendeleza ujuha sao...

Dunia Uwanja wa Fujo
 
Na Daima usithubutu kumwamini Mwanamuziki au Mwigizaji Tanzania hii.Wapo walioharibikiwa ujauzito wa mapacha pia wapo walioigiza kubakwa na kuna 'walioshoot' China hadi leo inahaririwa....
Ni kama wanasiasa tuu wakiona twaenda watakako basi hujiona washindi na huendeleza ujuha sao...

Dunia Uwanja wa Fujo
True that
 
Back
Top Bottom