Wolper amshangaa Harmonize kwa kupoteza muda kumtungia wimbo wa vichambo

Wolper katembea km nyingi sana, hata kama una mguu wa mtoto lazima aone kibamia
 
Wolper anyamaze kimya tu, maana huko ni kujidhalilisha. Hata kama ana kibamia wengine ndio hivo wanauliza au yeye ana shimo. Huku ni kujitakia kujivunjia heshima
heshima ya mtu huvunjwa na mtu mwenyewe
 
Tatizo Wolper anachukua watu wa ajabu yani anashindwa kumaintain status yake na mwisho wake ndo maneno kama haya...!!anajidhalilisha na ukizingatia na umri wake unayoyoma tu..........mwisho atabaki "dungaembe'
 
tatizo wasanii mapepe aje kitaa watu tumetulia
 
Eti harmo ana dudu ndogo! Makubwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…