Wolper awaponda wasichana wasio wasanii wanaovaa nusu uchi

Wolper awaponda wasichana wasio wasanii wanaovaa nusu uchi

Johnny Sack

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2017
Posts
8,984
Reaction score
19,288
Amewaponda wasichana wasio wasanii wanaovaa nusu uchi na kutupia picha zao mtandaoni, Kasema mtu hakatazwi kuvaa uchi ila inategemea unaenda wapi, mfano kwenye harusi unavaa nguo fupi ili iweje?
 
wiki hii kacharuka, mara 2020 nitamuunga mkono sijui nani vile mara leo kaja na hili tena!!!
 
Amewaponda wasichana wasio wasanii wanaovaa nusu uchi na kutupia picha zao mtandaoni, Kasema mtu hakatazwi kuvaa uchi ila inategemea unaenda wapi, mfano kwenye harusi unavaa nguo fupi ili iweje?

_20170524_154930.JPG
 
According to wadau................................................
_20170524_154930.JPG

Wolper alipata kunena haya maneno,ila kati ya hao wanaume hakuna alowah kusema ananuka K na akanukuliwa na media
 
Asemavyo ni kweli kila nguo na location yake na maadili pia ya uvaaji yazingatiwe
 
  • Thanks
Reactions: SDG
View attachment 514746
Wolper alipata kunena haya maneno,ila kati ya hao wanaume hakuna alowah kusema ananuka K na akanukuliwa na media
Waliowahi kuwa nae kimapenzi hapa jf na wakakutana na hali hiyo ndo hao hao wanao kwambia hapa, kwa hiyo usipinge mkuu [emoji12] [emoji13] [emoji14]
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Waliowahi kuwa nae kimapenzi hapa jf na wakakutana na hali hiyo ndo hao hao wanao kwambia hapa, kwa hiyo usipinge mkuu [emoji12] [emoji13] [emoji14]
Unadhani napinga?Mie sipingi,ila tuhuma hizi lazima mtu awe na ushahidi pasipo shaka.
Yaani namaanisha niwe nimedate naye then ndo nasema kuwa 'K' yake inanuka[emoji23]
 
Kwa hiyo wasanii wakivaa hakuna shida? Ila angeweka makundi ni wasanii wapi anazungumzia maana wasichana wote ni wasanii
 
Back
Top Bottom