wolper Gambe

wolper Gambe

ranjan

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2013
Posts
338
Reaction score
288
habari zenu wanajamvi,naomba kuuliza kuhusu huyu mtu anayejulikana kwa jina hilo tajwa,ni nani hapa mjini?ni celebrite? mwenye cv yake anisaidie, pia mwenye picha yake anisaidie niweze kumfaham.nimeuliza sababu nimeona amekua gumzo mjini, mitandaoni,especial instalgram.nisaidieni niweze kumjua.
 
huyu ndiye aliyemfanyia birthday masogange wakati yupo jela, alishawahi kuwa mke mwenzake wema kwa diamond, msanii wa kwanza wa kike kumiliki gari lenye thamani, msanii mrembo bongo movie asiyejichubua.ntarudi kumalizia.
 
Ni msanii pekee aliyejinyakulia tunzo ya ijumaa sexiest girl 2012 huk akiwamwaga masogange pamoja na beautiful onyinye malkia wa scandal wema abraham sepetu,pia ni msanii wa kwanza kuliko wote aliyejaribu kuishi maisha ya ki staa uko mbezi beach kwenye mjengo wa maana uku akisukuma ndinga expensive BMW X6,akiwaacha mbali wenzie,kama wema sepetu,irene uwoya pamoja na lulu michael,ila badae maisha yalimshinda na kuamia kinondoni,uku wenzie kama wema sepetu na lulu wakiongoza kuishi maisha ya kistaa kuliko wasanii wengine wote apa bongo,japokuwa lulu tu ndiye aliyebahatika kujenga nyumba akiwaacha mastaa wenzie mbali kimaendeleo japokuwa yeye ndiye msanii mdogo kiumri na mwenye mvuto wa kistaa kuliko wasanii wote apa bongo

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
msanii ambaye, wakati wenzake wanahangaika kutengeneza makabati ya nguo, yeye anamiliki vyumba tofauti tofauti vyenye nguo, handbak na viatu.
 
Ni msanii pekee aliyejinyakulia tunzo ya ijumaa sexiest girl 2012 huk akiwamwaga masogange pamoja na beautiful onyinye malkia wa scandal wema abraham sepetu,pia ni msanii wa kwanza kuliko wote aliyejaribu kuishi maisha ya ki staa uko mbezi beach kwenye mjengo wa maana uku akisukuma ndinga expensive BMW X6,akiwaacha mbali wenzie,kama wema sepetu,irene uwoya pamoja na lulu michael,ila badae maisha yalimshinda na kuamia kinondoni,uku wenzie kama wema sepetu na lulu wakiongoza kuishi maisha ya kistaa kuliko wasanii wengine wote apa bongo,japokuwa lulu tu ndiye aliyebahatika kujenga nyumba akiwaacha mastaa wenzie mbali kimaendeleo japokuwa yeye ndiye msanii mdogo kiumri na mwenye mvuto wa kistaa kuliko wasanii wote apa bongo

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Kweli kabisa LULU YUKO JUUU MIAKA MIAAAAAAAAA ustaa bongo nyumba ya kuhongwa gari pia mxiiiuuu
 
jamaa nasikia kafulia noma sasa ... Sembe sijui haitoki ... Yupo yupo tu

le mutuz amewahi kumtoa kule kwenye blog yake akilalamika wadau kumtosa dallas wakati alikua anawatoa mpunga na gambe. Kwani alikua bakhersa?
 
mastaa wa bongo ni vichekesho...kesho niende zangu cinemax century nikacheki muvi mpya....
 
Mmiliki wa nyumba anayokaa wema ni ya shemeji wa rafiki yangu,tena anakaa jirani kabisaa na hyo nyumba,nashangaa anavyojitangazia nyumba yake,pesa anazo nyingi za kuhongwa sema akili hana

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom