Wolper kumtolea mahari mpenz wake harusi yanukia

Wolper kumtolea mahari mpenz wake harusi yanukia

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana

Yule dada ambaye huwa haishiwi vijimamboz mpenda dogo dogo anayekwenda kwa jina la Wolper anameenda kwao na 'ben ten' wake na kwenda kutoa mahari ili aweza kuweka ndani kabisa mzigo

Habari zakuamikinika zinasema kwamba kwa sasa bi dada huyo na 'kiben ten' chake wako kwenye harakati za kufunga ndoa

Hii imekuwa ni kawaida sana kwa sasa kwa wamama wenye mipesa kuwa mapenzini na vidogo dogo

Lakini Wolper alipotafutwa na enews alikana vibaya sana na kusema hajatoa mahali wala hana mpango wa ndoa kwa sasa


CC MBITIYAZA


LONDON BABy
 
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana

Yule dada ambaye huwa haishiwi vijimamboz mpenda dogo dogo anayekwenda kwa jina la wolper anameenda kwao na ben ten wake na kwenda kutoa mahali ili aweza kuweka ndan kabisa mzigo

Habal zakuamikinika zinasema kwamba kwa sasa bi dada huyo na kiben ten chake wako kwenye harakati za kufunga ndoa

Hii imekuwa ni kawaida sana kwa sasa kwa wamama wenye mipesa kuwa mapenzin na vidogo dogo

Lakin wolper alipotafutwa na enews alikana vibaya sana na kusema hajatoa mahali wala hana mpango wa ndoa kwa sasa


CC MBITIYAZA


LONDON BABy
Kutoa mahari sio kutoa mahali

Habari sio habali


ASANTE KWA TAARIFA
 
Naona umeshika mikoba ya Faiza
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji56] [emoji56] [emoji56] [emoji56] marekebisho madogo tu

Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
 
kaona bora anunue kuliko asubiri kununuliwa
 
Hizo pesa mimi tu hazinitoshi zakumtolea huyo eti mme nizitowe wapi [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom