Kutoa mahari sio kutoa mahaliAman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Yule dada ambaye huwa haishiwi vijimamboz mpenda dogo dogo anayekwenda kwa jina la wolper anameenda kwao na ben ten wake na kwenda kutoa mahali ili aweza kuweka ndan kabisa mzigo
Habal zakuamikinika zinasema kwamba kwa sasa bi dada huyo na kiben ten chake wako kwenye harakati za kufunga ndoa
Hii imekuwa ni kawaida sana kwa sasa kwa wamama wenye mipesa kuwa mapenzin na vidogo dogo
Lakin wolper alipotafutwa na enews alikana vibaya sana na kusema hajatoa mahali wala hana mpango wa ndoa kwa sasa
CC MBITIYAZA
LONDON BABy
Naona umeshika mikoba ya FaizaKutoa mahari sio kutoa mahali
Habari sio habali
ASANTE KWA TAARIFA
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji56] [emoji56] [emoji56] [emoji56] marekebisho madogo tuNaona umeshika mikoba ya Faiza
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kutoa mahari sio kutoa mahali
Habari sio habali
ASANTE KWA TAARIFA
Asante kwa marekebishoKutoa mahari sio kutoa mahali
Habari sio habali
ASANTE KWA TAARIFA
Kajiongeza si unajua tenaMhhhh Aisee baada ya kuona kila mtu anamtolea nje ndo kaona bora ajinunue mwenyewe [emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nazan anataka awe na mkatabakaona bora anunue kuliko asubiri kununuliwa
poapoa
Njoo na ww unitolee mahari
Haaaa mie wazazi wangu zamani jamaa alisha jipinda [emoji3] [emoji3]Njoo na ww unitolee mahari
Raha jipe mwenyewe yakupewa ina masimango nduguMhhhh Aisee baada ya kuona kila mtu anamtolea nje ndo kaona bora ajinunue mwenyewe [emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji39] [emoji39]Haaaa mie wazazi wangu zamani jamaa alisha jipinda [emoji3] [emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app