Hana shida huyo ni ng'ombe aliye katwa mkia karudi zizini ila ng'ombe wengine wenye mikia yao wanamuangalia tuu hasa yule mwenye mapembe marefu ......Alikuwa akijiita Jackline "Lowassa" tehe tehe tehe, hizi siasa wengi wanafuata maslahi ni wachache sana wanaokipenda chama chao kwa dhati! Nahisi hata babu wakimhakikishia kuwa atapata upresidaa anaweza kurudisha majeshi,
[emoji23] [emoji23] [emoji23] comment hii imebeba maana pana sana.Alikuwa akijiita Jackline "Lowassa" tehe tehe tehe, hizi siasa wengi wanafuata maslahi ni wachache sana wanaokipenda chama chao kwa dhati! Nahisi hata babu wakimhakikishia kuwa atapata upresidaa anaweza kurudisha majeshi,
Hhahahhaha mana wao ni kutafuta Kiki tuNjaa mbaya sana tutaona mengi mwaka huu
Angebaki kule kwa UKUTA angekuwa anajielewa?Ila unafiki mbaya sana..hakuna mtu asiyejielewa bongo movie kama huyu malay* kwa hv sasa
UKUTA sahv hatuna hela huoni kaja kuzichota kwenu anawachora tu..endelea kushabikia mwenzako anapiga pesa 2 huku na hukuAngebaki kule kwa UKUTA angekuwa anajielewa?