Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Atabanwa mbavu utashangaa baada ya siku mbili ataongea vitu tofautiMwigizaji Jacqueline Wolper ameeleza kuwa ameumizwa sana na jambo lililotokea jana Septemba 15, 2025 kati ya wanachama wa Chadema na polisi katika viunga vya mahakamani, kwenye kesi ya Tundu Lissu baada ya kuonekana Polisi wakiwashambulia kwa virungi na kujeruhi.
Amesema, "Mimi ni kioo cha jamii, siwezi kuona wananchi wanafanyiwa uonevu halafu nikakaa kimya, lazima nitapost."
Cheki nalo hiliAtabanwa mbavu utashangaa baada ya siku mbili ataongea vitu tofauti
Police brutality haukubaliki.Mwigizaji Jacqueline Wolper ameeleza kuwa ameumizwa sana na jambo lililotokea jana Septemba 15, 2025 kati ya wanachama wa Chadema na polisi katika viunga vya mahakamani, kwenye kesi ya Tundu Lissu baada ya kuonekana Polisi wakiwashambulia kwa virungi na kujeruhi.
Amesema, "Mimi ni kioo cha jamii, siwezi kuona wananchi wanafanyiwa uonevu halafu nikakaa kimya, lazima nitapost."
Mnawajaza sana upepo hawa wapuuzi wanaofanya matukio ya kuonea watu wenye mtazamo tofauti.Atabanwa mbavu utashangaa baada ya siku mbili ataongea vitu tofauti
Ghafla bin vu ata trend tena kule TelegramMwigizaji Jacqueline Wolper ameeleza kuwa ameumizwa sana na jambo lililotokea jana Septemba 15, 2025 kati ya wanachama wa Chadema na polisi katika viunga vya mahakamani, kwenye kesi ya Tundu Lissu baada ya kuonekana Polisi wakiwashambulia kwa virungi na kujeruhi.
Amesema, "Mimi ni kioo cha jamii, siwezi kuona wananchi wanafanyiwa uonevu halafu nikakaa kimya, lazima nitapost."
Huyo umaarufu wake ushachuja hana madhara maana habari yake haitafika mbali. Aongee hivyo Mobetto kesho yake tu analetewa deni la malimbikizo ya kodiAtabanwa mbavu utashangaa baada ya siku mbili ataongea vitu tofauti
Kakariri. Haelewi. Asilimia 95% ya Watanzania hawajui maana yake. Hata professional joirnalist wanautumia msemo huo lakini hawaelewi. Sembuse Wolper.Anajua maana ya kioo cha jamii au anakariri tu kama wengine?