Wolper: Mwanaume atakayeweza kunipa mimba nitamjengea nyumba ya kifahari

Ushauri murua sana huu mkuu
 
Huyo labda hana uwezo wa kushika mimba maana angekuwa na uwezo huo asingehitaji hata mwanaume ili awe mjamzito.
 
Mnachokonoa sana vizazi vyenu kwa kutoa mimba kipindi mnanogewa na udangaji,sasa hivi mnaona uzee unakaribia mnaanza kukumbuka mimba.

Mwisho wa siku mtoto unataka na kudanga unataka.
 
Changu anajinadi tu huyu, kwa kifupi anataka mwanamme wa kumuhonga na si kumjengea nyumba kwani yeye mwenyewe nyumba aliyojijengea hana.
 
Mbona anahangaika sana ? Mtoto siyo lazima, kama kweli ana nia njema aende kuasili mtoto , au kama vipi aende nje nchi kwenye sperm bank huko Madaktari wanajua sperm zipi ambazo wakizinyunyizia kwa mwanamke anapata Mimba mara moja, ...
Mtoto siyo lazima, lakini kuasili pia siyo option.
Aishi kibishi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…