Wolper: Mwanaume atakayeweza kunipa mimba nitamjengea nyumba ya kifahari

Mwili wa mwanamke ni HEKALU TAKATIFU....

Ukitumiwa hovyo ili Kufurahisha jamii ama kuendana na kiitwacho "life style" basi itafika siku tu ya MAJUTO......

Na Majuto hayo yatakapotokea wala DUNIA haitosimama....
 
Au siyo!
 
😂😂😂😂😂wee jamaa konyo sana wewe
 
Aje PM wiki mbili anaanza kuuliza udongo na ndimu,Mark my word
 
Mbona anahangaika sana ? Mtoto siyo lazima, kama kweli ana nia njema aende kuasili mtoto , au kama vipi aende nje nchi kwenye sperm bank huko Madaktari wanajua sperm zipi ambazo wakizinyunyizia kwa mwanamke anapata Mimba mara moja, ...
Aende nje kutafuta nini wakati chini ya TZ ya kijani kila kitu kipooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…