Wolper: Mwanaume atakayeweza kunipa mimba nitamjengea nyumba ya kifahari

Kwa jinsi anavyoongea ni kama mtu aliyesumbuka/anayesumbuka kupata mtoto. Halafu wakati huo huo anaongea kana kwamba shida sio yeye, bali ni mwanaume wa kumpa mimba! Kama analo tatizo la kiafya anatarajia huyo mwanaume afanye miujiza gani? Ni kama kutaka kujaza upepo tairi lenye pancha!!
 
Miaka 10+ ya umaarufu ilimzuzua. Hata hii ya sasa ni kutafuta "yeyote wa kutoka naye" maana ameshapoteza mvuto na anatafuta kwaujanja ujanja.
 
Dah!...masikini Wolper, pole kwake.
 
We ndo muhuni sasa
 
Dunia hii kweli ina maajabu, kuna wanawake wanalalamika kuwa akiachia mzigo tu kitu inaitika yaani wanazaa kama sungura, kuna wengine wanalilia kupata mimba
 
1. Yeye mwenyewe hana nyumba ndio amjengee mwanamme?
2.Angekuwa hayupo kwenye "GRIDI" ningejitolea Bure tu.
 
Kuna yule pimbi na panki lake km jogoo wa krismas alimvisha pete 2 month akakimbia sijui nini kilimpata.
Achezee hivyo visharo vya dar tu enzi zetu huyu ni single maza na baba haeleweki
 
Mbona mama Cheupe hana mtoto wa Fid?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…