Wolper na Aunty Ezekiel wavuana nguo hadharani, kisa madeni

Hivi tafsiri hasa ya mtoto wa mjini ni ipi ni aliezaliwa dar es salaam au ni mtu yeyote mwenye exposure kubwa na kujua mambo mengi?
 
Hivi tafsiri hasa ya mtoto wa mjini ni ipi ni aliezaliwa dar es salaam au ni mtu yeyote mwenye exposure kubwa na kujua mambo mengi?
Wengi wanalengea dsm...ndo maana hapo Kwenye maelezo ya huyu mbeya ..(mtoa mada) kamzungumzia wolper kama wa kuja yan mjini kaja akiwa mkubwa tayari
 
Kwani kile kijibwa cha Wema sepetu kinachoitwa Manunu kimeshapatikana?
 
Nije wapi tena Jaman , Nimeolewa mwenzio binamu , unataka kunivunjia ndoa yangu tena [emoji16], happy Easter
Mmeo ni mtu wa Tanga, mzanzibar wa Mchambawima au ni mzaramo wa Mzenga?
 
cheusi nilipiga kipindi flan daahhh amejaaliwa mzigo kidogo nitumbukie...heheheh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…