Wolper Stylsh autafuta Ukuu wa Wilaya!

Wolper Stylsh autafuta Ukuu wa Wilaya!

Andrew0079

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2016
Posts
261
Reaction score
142
Naona harakati za Wolper kuutafta ukuu wa Wilaya zmepamba Moto Insta!!!
My take : Bila kujipendekeza ccm cheo unaksoma namba
[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
 
WANAPANDA MITI KIHEMKO.....WAWE WANA
MWAGILIAGA PIA....KILA SIKU

OVA
 
Nasikia yule Muheshiwa mwenye jina la mkusanya nauli kwenye daladala alishafanya yake hapo..labda kwa hilo anaweza kuambulia hata ukubwa wa banda la kuku
 
Back
Top Bottom