Wolper: Ufundi cherehani unalipa kuliko kucheza filamu

Hawa hawana akili, wamezungushana na dealers wa cd wakishirikiana na Bashite leo kila mmoja kapiga kimya.
Hivi hiyo vita yao iliishiaga wapi?

tekno ya shilingi elfu saba na mia tano.
 
Alikuwa anadanganywa na kina Kanumba, Rich Rich, Ray mnywa maji, kucheza sinema kumbe wenzake walikuwa wanamkopa uroda, yaani ndiyo kashituka hivi sasa? Kweli kuwa celebrity bongo ni full ushuzi.
 
Kwa amjuaye Wolper naomba aniulizie kwake kama anashonesha chupi na anapimaje...chumbani kwake au barazani? Mtu akitaka kwenda naye chumbani kupima anachaji kiasi gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…