Wolves, Leicester city na Everton watasumbua Sana epl

Hziyech22

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Posts
15,351
Reaction score
21,362
Hizi club wanatimu nzuri kutokana na wachezaji walionao ukiangalia baadhi wachezaji wa hizi timu wanaweza kuanza kwenye team km man u, Chelsea na arsenal wachezaji kama Ruben neves wa wolves ana quality kuliko wachezaji waliopo man u au arsenal.

Ndindi msimu uliopita alikuwa wa pili kwa kufanya interception ukimtoa kante ata mchezaji mpya ambaye ni beki wa Leicester city anaevaa jezi no 4 jamaa anakaba mpaka kivuli Chelsea wanajua vizuri nikiangalia kwenye team Kama man u na arsenal sijamuona hata mmoja mwenye uwezo huo.

Wachezaji wengi wa Leicester ya Sasa, Everton pamoja na wolves wanaweza kuingia moja kwa moja Kwenye team Kama man u, Chelsea na arsenal eti man u wanamtegemea mchezaji Kama lingard kweli?matic na mengine kinda wa academy eti nayo arsenal inategemea mabeki ya pound 8 kidogo Chelsea nisiiseme Sana cos ya ban walionao ila inasajiligi wachezaji wazuri alafu hizi team zikashindane na team Kama Madrid, Barcelona na Bayern kweli? Ndo maana ligi ya uingereza Ina ushindani cos ya quality yawachezaji kukaribiana tofauti ya team za big 4 na team nyingine nyingi kuwa na tofauti ndogo. Team kama Madrid, Barca na Bayern wana akikisha kila maeneo wanakuwa na wachezaji Bora ndomaana uefa wanafanya vizuri pia wanawanyanyasa vilabu vya ligi zao.

We angalia mfano una wachezaji kama lingard.martial,matic, Maguire,young,bissaka,pogba,rashford ukapambane na team ya Madrid yenye hazard,bale,benzema,iso,modric,kroos,casemiro,Ramos unategemea Nini?eti wadau.
 
Watasumbua lakin kombe watalisikilizia bombani tu
 
Watamsumbua au kuchukua point kwa Chelsea hasa na man u, kwa wengine arsenal Liverpool na city ,wajipange
 
Umeandika pumba sana ,ndio maana wachambuz kama nyie nawadharau sana ,hivi ulishaona watu kama king ngwaba, mosdef wanavyochambua Mpira?
 
Umeandika pumba sana ,ndio maana wachambuz kama nyie nawadharau sana ,hivi ulishaona watu kama king ngwaba, mosdef wanavyochambua Mpira?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nakukumbuaha tu fainali za ulaya zote 2 msimu uliopita zilikuwepo club za epl
 
Tatzo hz tm zinafanyaga vzr zkikutana na timu Kubwa lakn zikutana na wadogo wenzao Hamna kitu
 
Wewe hujui mpira unajidharirisha tu kuchambua pumba zako hapa
 
Hizo ni sawa na kagera sugar tu, yaani unamfunga anayeongoza league halafu unapita kwenye tundu la sindano ili kubaki ligi kuu
 
Hizo ni sawa na kagera sugar tu, yaani unamfunga anayeongoza league halafu unapita kwenye tundu la sindano ili kubaki ligi kuu
Nimezitaja hizo team cos msimu huu zitaleta competition kwa team kubwa kutokana na ubora wa vikosi vyao Wala sijasema zitachukua ubingwa ila bahati mbaya nimeona wenye team zao kubwa wanatoka mapovu na pia hawajaelewa post yangu cos ya low mind walionayo about football
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…