Underthesea
JF-Expert Member
- Jul 8, 2021
- 327
- 882
Sijazaliwa kwenye dhiki mkuu.Tamaa ya hela itakuponza. Umetangaziwa dau kubwa umeshindwa kulikataa japo unajua unachofanya sio sahihi.
Pole sana.
Kwakuwa uzi wako haukuwa wazi nilijaribu ku speculate umemaanisha nini so kama sio hivyo basi maana yake sikupatia.Sijazaliwa kwenye dhiki mkuu.
Wala Sina tamaa. I'm not a materialist. Ndomana nasema shetani kanijia kivingine kabisa.
Happy holidays!
Kama kuna aliekuelewa mpe zawadi kabisaHili tukio naloenda kupigwa nimelipokea Kwa mikono miwili.
Shetani umenijia kivingine kabisa, Karibu sana.
Just leaving this here for future references.
Happy Holidays!
View attachment 2048558
HakikaKama kuna aliekuelewa mpe zawadi kabisa
Mods waje tuHakika
We hujaelewa kwamba anakwenda kugegedwa..!?Kama kuna aliekuelewa mpe zawadi kabisa
Aisee that's not what I meant at all!! Shetani kaja kivingine!! Too good to be true ndomana na anticipate TUKIOWe hujaelewa kwamba anakwenda kugegedwa..!?
Kwa kwelibia tamu......
Machale yakikucheza ujue kifuatacho ni maumivu.. sema ndio ivyo sasa umeshanasa utafanyaje?Aisee that's not what I meant at all!! Shetani kaja kivingine!! Too good to be true ndomana na anticipate TUKIO
Utaleta mrejesho mkuu.Aisee that's not what I meant at all!! Shetani kaja kivingine!! Too good to be true ndomana na anticipate TUKIO
^A foolish person is the one who, though fully understands true consequences of their very action, goes on and do it anyway.^ ~ Anonymous