Woman in wedding dress pleads for husband on Nairobi street

Woman in wedding dress pleads for husband on Nairobi street

kilam

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2011
Posts
2,092
Reaction score
2,128
1621018.jpg

Mwanamke mmoja akiwa amevalia gauni maalumu kwaajili ya kufungia ndoa ameonekana katika mtaa wa Tom Mboya Jijini Nairobi akiwa ameambatana na mtoto wa kike(Miaka 7) huku akiwa amebeba bango lenye ujumbe wa kutafuta Mwanaume wa kumuoa.

Mwanamke huyo mwenye umri wa miaka 28 kupitia bango lake amejitambulisha kwa jina la Pris Nyambura pia aliambatanaisha na namba yake ya simu ambayo kwa mujibu wa wanaume kadhaa walidai kuwa mda mwingi ilikuwa ikitumika.

Aidha watu kadhaa wamekosoa kitendo hicho kwa kuwa Mwanamke huyo aliambatana na Mtoto hivyo wamelalamika kuwa amefanya unyanyasaji.

======

A woman dressed in a white wedding gown was spotted on Nairobi's Tom Mboya Street on Tuesday morning pleading for a husband.

The woman identified only as Nyambura waved a placard and held the hands of a girl she said is her daughter.

"Need for a husband pris. Nyambura 28 years. I have a girl child [sic]," read the message she had on display.

She asked men who are ready to reach her on mobile number 0737 350766. But calls to the number, the operator saying the line was busy.

Kenyans on Twitter criticised Nyambura, some saying she should not subject a child to such.

"Nyambura, tho! She should consult a digital team to help her get a computer-generated man," wrote '@HonPrince8'.

Opposition leader Raila Odinga came up with the phrase "computer-generated leaders" when he complained about rigging in the general election.

Penny Munyaka told Nyambura it is embarrassing for her to drag her daughter into her plea as she may not be looking for a father.

"So wrong," he said, while a user identified as '@arap_chief' noted things are getting out of hand and that some men may take advantage of the woman.

"There is someone who might see the good in her sickness. Hata kipofu huolewa na mtu anaona, kiwete huolewa na mtu anatembea vizuri. (Even the blind are married by people who can see and the lame by those who can walk. Stupid [sic]."

1621019.jpg


On July 16, when Raila Odinga campaigned in Nairobi’s Kibra constituency, the heart of Southern Sahara’s second largest slum, he delivered a thrilling message for single mothers. He also took the message to single mothers in Kiambu, Embu and Meru.

A survey by a Canadian university done in 2011 shows that about 30 per cent of women in Kenya are single mothers, occasioned by premarital birth, divorce, separation or death of spouses.

The research also revealed that six out of every 10 Kenyan women are likely to be single mothers by the time they reach 45, one of the highest rates for single-parent families in Africa.


But other social media users praised Nyambura for taking the brave step to look for a husband.

"I wholly salute that lady's courage! Hope fate gets her a good husband! A challenge 2 all single & hurting ladies out there! Rise up [sic]," '@silva_kaz' said.

A man identified only as Dave said President Uhuru Kenyatta and DP William Ruto shuld help women find "computer-generated husbands" without petitions.
 
Dah, Nyamura wito! Pris, kwa bidii hii hauhitaji mume! Unahitaji tu njiti si njiti! Fullstop!
 
hehe need for a husband...should have left the kid home though...parents must not bring shame and suffering to their innocent children...
 
Hatimaye waja na mbinu mpya,hongera yake..
 
sijui baba mzazi wa huyo mtoto analitambua hilo, soo!!!! sad
 
Mwanamke mmoja nchini Kenya ameingia katika barabara za mji mkuu Nairobi, akiwa na bango lenye maandishi yanayosema kuwa anatafuta mwanamume wa kumuoa.

Akiwa amevaa nguo nyeupe sawa nguo inayovaliwa Bi harusi, Pris Nyambura mwenye umri wa miaka 28, ambaye pia ni mama wa mtoto mmoja, alikuwa na bango lililosema.

"Ninahitaji bwana, nina mtoto msichana wa umri wa miaka saba"

chanzo:BBC
 

Attachments

  • t.jpg
    t.jpg
    48.7 KB · Views: 66
Daah anapambana na hali yake!

sent from Sanduku la Posta using JamiiForums mobile app
 
Mwanamke mmoja nchini Kenya ameingia katika barabara za mji mkuu Nairobi, akiwa na bango lenye maandishi yanayosema kuwa anatafuta mwanamume wa kumuoa.

Akiwa amevaa nguo nyeupe sawa nguo inayovaliwa Bi harusi, Pris Nyambura mwenye umri wa miaka 28, ambaye pia ni mama wa mtoto mmoja, alikuwa na bango lililosema.

"Ninahitaji bwana, nina mtoto msichana wa umri wa miaka saba"

chanzo:BBC
duh! mpaka BBC wameripoti hii?
 
Mwanamke mmoja nchini Kenya ameamua kuingia mtaani kusaka mume huku akiwa amebeba bango katikati ya jiji la Nairobi. Akiwa amevalia nguo nyeupe- kama ya harusi- mwanamke huyu mwenye umri wa miaka 28, Pris Nyabura, amebeba bango linalosema: “Nahitaji mume, nina mtoto wa kike wa miaka saba.”
Mwandishi wetu Robert Kiptoo amejaribu kumpigia simu ili kupata taarifa zaidi, lakini simu yake iko “bize”….
ef7de231244ff4046667e534677d946e.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
ukiwa umemchosha......na hakika atampata... profile yake haijatimia vema...
 
Back
Top Bottom