Talis Semwa Member Joined Jan 8, 2017 Posts 32 Reaction score 18 Jan 25, 2017 #21 Yaan unakuta hadi midomo kaikaza balaa...hata nivyo labda nahisi muda mwingi wanataka kuwa makini zaidi...concentration!!
Yaan unakuta hadi midomo kaikaza balaa...hata nivyo labda nahisi muda mwingi wanataka kuwa makini zaidi...concentration!!
Nima Imma JF-Expert Member Joined May 14, 2015 Posts 2,473 Reaction score 3,669 Jan 29, 2017 #22 Talis Semwa said: Yaan unakuta hadi midomo kaikaza balaa...hata nivyo labda nahisi muda mwingi wanataka kuwa makini zaidi...concentration!! Click to expand... kwenye kuovertake ndo utacheka na si sisi wadada n wamaa jaman
Talis Semwa said: Yaan unakuta hadi midomo kaikaza balaa...hata nivyo labda nahisi muda mwingi wanataka kuwa makini zaidi...concentration!! Click to expand... kwenye kuovertake ndo utacheka na si sisi wadada n wamaa jaman
TUTUO JF-Expert Member Joined Dec 3, 2013 Posts 3,251 Reaction score 2,030 Jan 29, 2017 #23 kassimneema said: kwenye kuovertake ndo utacheka na si sisi wadada n wamaa jaman Click to expand... Hapo ndio huwa wananikera na kuwafanyia fujo, unakuta kuna gap badala alitumie muondoke yeye anaunga chain
kassimneema said: kwenye kuovertake ndo utacheka na si sisi wadada n wamaa jaman Click to expand... Hapo ndio huwa wananikera na kuwafanyia fujo, unakuta kuna gap badala alitumie muondoke yeye anaunga chain
Nima Imma JF-Expert Member Joined May 14, 2015 Posts 2,473 Reaction score 3,669 Jan 29, 2017 #24 TUTUO said: Hapo ndio huwa wananikera na kuwafanyia fujo, unakuta kuna gap badala alitumie muondoke yeye anaunga chain Click to expand... [emoji23] [emoji23] [emoji23] kakomaa na sterling 360 kushikilia
TUTUO said: Hapo ndio huwa wananikera na kuwafanyia fujo, unakuta kuna gap badala alitumie muondoke yeye anaunga chain Click to expand... [emoji23] [emoji23] [emoji23] kakomaa na sterling 360 kushikilia