Women Only..... Namna ya kumfanya Mume/Partner wako awe na wivu

Umejaribu the DP? ukimtreat vizuri sidhani kama kutakuwa na tatizo
 



Gaga, mimi wala hiyo ya tatu usingefika!!!!!
ningekuwa tayari nimesha kukarabati saaaaaaaaaaaaaafi!!
 
Gaga, mimi wala hiyo ya tatu usingefika!!!!!
ningekuwa tayari nimesha kukarabati saaaaaaaaaaaaaafi!!
Ningeskip mpaka ya mwisho au unaonaje
 

Aiseeeeeeeeeeeeee!!!
 
Yote uliyoyasema nimeyapenda lakini namba sita ndio nimeipenda zaidi. kuna kitu kimoja nimejifunza mtaani kwangu, kuna vijana huwa nawaona wanakaa vijiweni na hawana kazi, siku ambayo siendi kazini huwa natafuta shughuli yoyote ya kufanya na ninawashirikisha kisha ninawaaachia kitu kidogo.............. sifanyi hivyo kila ninapokuwa nyumbani, bali ikitokea huwa nawaalika na kuwashirikisha.
Kuttkana na kufanya hivyo nimejijengea urafiki nao, kiasi kwamba kama ikitokea nimeibiwa wao ndio wanaoshughulika kumtafuta mwizi na kama kuna mtu wanamtuhumu anataka kuiba pale kwangu nitamkuta Polisi kwani watakuwa wameshafaya kazi yao. kwa kifupi wanalinda mali zangu.
 
Asante sana Gaga kwa Topic nzuri sana sana nimependa namba saba

Ila namba tatu kama huna mazoea ya kutoka unaanzaje ?
 

Kuna shepu za kuvalia kanga ndembendembe diarest, kuna zingine hata uvae kijimtandio bado huvutii wala nini so inatagemea na ntu na ntu ati
 


hahahahah mie pia nimecheka sana ila imenipatia mwangaza....Thanx Gaga...ila hapo kwenyekununua lingerie afu nisivae mmmmh!
 
pamoja na hayo yote sidhani kama nitamuonea wivu.......labda uendeleee na point no 8.....
Hata hivyo nani alikuambia sisi wanaume tuna wivu?????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…