jenero2011
Member
- May 10, 2011
- 6
- 0
Umenikumbusha kuna kitu kinaitwa law of magnetism nilisoma form 2 more than 20 yrs ago inasema, Like charges repel on each other while unlike charges attract on each other
mie nahisi wanaume ndio chanzo,kwa vile mko wachache wanawake tuko kny competition kuwapata hence war with each other.....:dance::dance::A S 103:
lakini wataalamu wa masuala ya mahusiano wana shauri usimzuie mumeo kuangalia mremboWivu, Ignorance, Viwango, suspision, nature, survival of the fittest ... The list can go on forever.... Na sababu nyingine ni nyie wenyewe guys ... una mwanamke wako hapa.. akija mwingine unamuangalia kama vile ulonae hapo si lolote....
duh me nlidhan kua wanaume ndo mabingwa wa draft kumbe hadi w/wake?kama wanaume wachache mbona mwanamke mmoja unakuta ana mabwana watano. Anawatoa wapi hao wote?
Umenikumbusha kuna kitu kinaitwa law of magnetism nilisoma form 2 more than 20 yrs ago inasema, Like charges repel on each other while unlike charges attract on each other