Women Vs. Men

Kitu kilekile tu angalau tunawakumbuka kwa kitu kimoja halafu kwenye hilo bichwa la mwanamke ni wazi wako materialistic sana wanawaza pesa na good time tu.

Mkuu, sijui kama haya yote yana facts kiasi gani. Inawezekana wanawake wengine hawako hivyo.
 

Ooops lile shindano la Jamii Photos au Sports liliishiaje kwani? Hebu peruzi uniambie basi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…