they are more than selfish, ndio maana nchi walizokwisha kuendelea wanaoa wanaume wachache tena kwa sababu ya kutimiza malengo yao ya kisiasa, hata mm nitaoa kwa sababu hiyo hiyo, siku zote ninapopangiwa bosi mwanamke du amani hutoweka.
Ooops lile shindano la Jamii Photos au Sports liliishiaje kwani? Hebu peruzi uniambie basi.
mkuu usipotee sana basi
karibu tena
Babuuuu . . . . Uko wapi sikuhizi na unafanya nini? Long time saaana!
Umeona eeh, bado tunamhitaji, hasa kipindi hiki cha mikingamo ya bajeti
Mkuu, tuwape heshima:
Ni mama zetu
Dada Zetu
Bibi Zetu
Shangazi zetu
Wake zetu
Rafiki zetu nk
Umewahi kufikiria Dunia ingekuwa vipi bila wanawake?
Hahahahahah,
Hili swali ni gumu kamanda....Ila unaweza kujiuliza kwa namna nyingine na kujaribu kujua ni jinsi gani hawa wadau wetu wamechangia kuifanya dunia kuwa kizunguzungu!!
Babu DC!!
Wamechangia vipi Mkuu kuifanya Dunia iwe kizunguzungu?
Usipotee sana Babu, unajua siku hizi Dot.Com wako wengi hapa JF kiasi cha kuanza kukosa mwelekeo wa enzi.