Women!!!

Mlachake

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2009
Posts
4,437
Reaction score
4,618
Ni wiki Kadhaa Tangu mpenzi wangu anipige Kibuti katika mazingira ya kutatanisha.

I just met another woman whoa I have been dating for the last two weeks now.

Nimekuwa nawasiliana nae mara nyingi mida ya Mchana Lakini usiku huwa simu yake Imezimwa.

Am now getting the feeling that I love her, and I gues she loves me to.

Jana jioni tukiwa tumekaa in one of those places tunakoenda kujipumzisha mida ya Jioni, nikaamu kumdadasi sababu ya kuzima simu usiku.

Gues what!!! She told me she is Married though his husband Travels on regular Basis.

Jamani niliishiwa Nguvu.

Hivi hapa nani mwenye makosa?

Hivi mwanamke unapotongozwa, kama umeolewa unatakiwa umwambie mwanaume, Au unasubiri mpaka akuulize?
 
Sasa na wewe unamtongoza mtu hujui anaishi wapi na anaishi vipi?!
Mmezoeana mpaka kutongozana ila ukashindwa kabisa kumuuliza kama ana mtu?!

Jifunzeni kuwa marafiki na watu kabla ya kuomba mapenzi!Sio unadandia tu kila daladala kabla kusoma kibao kwanza kujua inapoelekea!!
 
Hili jukwaa ligeuzwe liitwe jukwaa la wanawake sasa. It's about time.

ni mtizamo wako tu mkuu.... ilivyokuja thread ya mashoga ulionyesha kuunga mkono kwa comments zako sasa imekuja hii ya mwenzetu ndo imekutia hasira eti... nina wasiwasi sana na nyendo zako!!!!!!!!!!!!!!!!!!! ni mtizamo wangu tu pia
 
kwanza nikupe pole Mlachake, pia nikupe hongera kwa ujasiri wa kuachwa na hapo hapo kupenda kwa wakati huohuo.

ni kwa nini siku ya kwanza ulipompigia simu usiku na ukaona imezimwa kesho yake usingemuuliza??
 
Reactions: bht
ni mtizamo wako tu mkuu.... ilivyokuja thread ya mashoga ulionyesha kuunga mkono kwa comments zako sasa imekuja hii ya mwenzetu ndo imekutia hasira eti... nina wasiwasi sana na nyendo zako!!!!!!!!!!!!!!!!!!! ni mtizamo wangu tu pia

Ndugu naona kweli una obsession na mimi. Vipi kuna kitu umenimaindi au? Maana naona unanifata fata sana kila sehemu. Nikusaidieje?
 
aiseeeeeeee!...mambo ya ndoa hayo
 
ni mtizamo wako tu mkuu.... ilivyokuja thread ya mashoga ulionyesha kuunga mkono kwa comments zako sasa imekuja hii ya mwenzetu ndo imekutia hasira eti... nina wasiwasi sana na nyendo zako!!!!!!!!!!!!!!!!!!! ni mtizamo wangu tu pia

huoni unajitesa??
 
Hapo kwenye blue unanichanganya kidogo... Kumbe hamjatongozana kwasababu u are just feeling kuwa mnapendana sasa kama hamjaingia kwenye hyo stage anakosa gani yeye? Pengine she just want your company na sio kungonoka.
 
Mlachake kweli una moyo
Mpaka umeshakutana nae mara kibao maana unasema sehem mnazokutana on regular basis hujajua kama ana mtu. Wewe ndo ulipaswa uchunguze na kujua maisha yake na kama ana mtu au hana tokea siku ya kwanza moyo wako ulivyomdondokea
Mkuu acha kabisa hapo na mwambie wazi hauko interested na yeye
 
Ndugu naona kweli una obsession na mimi. Vipi kuna kitu umenimaindi au? Maana naona unanifata fata sana kila sehemu. Nikusaidieje?
no,sio kama nakufatafat sana ni kwa vile wote ni great thinkers so inabidi tuwe tunajitahidi kukumbuka tunavyochangia mada zinapokuja jukwaani ili tusijejiharibia au kuonekana tofauti. ni hilo tu boss,kukumbuka comments zetu za nyuma kabla hatujachangia nyingine....
 
We Mkirua kwani hujaona aliposema kwamba “we‘ve been dating!“...?
 
Nakusihi usiwe na obsession na mimi na usihangaike sana kufikiria nyendo zandu. Wewe nipotezee tu kimtindo. Sawa kaka?
 
We acha unoko...... Huyo aliyetongozwa ndo alitakiwa amwambie mtongozaji "Sorry, nna msumari wangu wa kunitoboa" sio unakubali tu eti mpaka uulizwe.....nyambaf
 
We nawe bwana...tatizo ni kwamba wanawake wanasema kila siku...mara hivi mara vile...mara hawa mara wale yani kila siku lazima zipadishwe thread kadhaa kuponda/kukashfu/kufisia/kulalamikia wanawake.

Hizo za homosexuals nazo hua zinapandishwa kila siku?!
 
Hapo kaka imekula kwako mke wa mtu sumu lakini na dada zetu nao hapo wamechemka vipi wajiweke kirahisi kiasi hicho wakati ameolewa?
 
We acha unoko...... Huyo aliyetongozwa ndo alitaka amwambie mtongozaji "Sorry, nna msumari wangu wa kunitoboa" sio unakubali tu eti mpaka uulizwe.....nyambaf

Kwanini yeye aseme kama hajali kua nao wote wawili?!Huyu anaejali ndie alietakiwa kuuliza ili ajue kama panamfaa au la!!!
 
Hivi mwanamke unapotongozwa, kama umeolewa unatakiwa umwambie mwanaume, Au unasubiri mpaka akuulize?

Hivi kweli ajibu maswali ambayo hata hajaulizwa............................kwani alijua nia yako nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…