Kutokana na sera ya àrdhi ya 1995 na sheria ya àrdhi no. 4 ya 1999 uhuru na uwezo wa kumiliki, kutumia na kuamua juu ya matumizi ya ardhi ni sawa kwa wanaume na wanawake japo mambo ya sheria za mirathi na tamaduni zimekuwa zikiziua matumizi ya sheria hii hasa vijijin
ni kweli, sheria za jadi zimekuwa ni kikwazo sana kwa wanawake kumiliki ardhi, na hii inapelekea wanawake kukosa haki zao za msingi. nafikiri ni wakati sasa tunapaswa kuziangalia vizuri sheria za umiliki wa ardhi hasa katika kuzibana sheria za jadi