sorry inategemea na mtu manake haya mambo ni genetic, mazingira na lishe, kwa niliowasikia wengine miezi mitatu, minne na kuendelea mpaka mwaka au mwaka na nusu, Wengine huwa hawaendi kwenye siku zao mpaka waache kunyonyesha, kama nilivyosema inategemea hakuna muda fixed.