Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Picha inajieleza, je ulianzia ipi kati ya hizo na unakumbuka mambo gani? Mimi nilianzia na "Mjumbe ana hoja pale" ya kwenye kigozi cha kiunoni,
Nakumbuka 2002 nikiwa mitaa ya Unga limited Arusha napanda nikitokea Sinon nikapigiwa simu majira sa saa 2 usiku, mwanga ukaniponza wahuni wakaja wakanigawana nikapoteza mawasiliano na mwenyeji wangu